“ASALI ITOKAYO MWAMBANI”
Tafakari ya kila siku
Ijumaa, Agosti 8 2025
Juma la 18 la Mwaka
Kumbukumbu ya Mtakatifu Dominiko, Padre
Kum 4: 32-40;
Zab 77: 11-15, 20 (K) 11;
Mt 16: 24-28
KUPOTEZA MAISHA KWA FAIDA YA KWELI!
Yesu katika Injili anasema, ni lazima tujikane tukitaka kweli kumfuasa. Kumfuasa huku kunamaanisha; kutokumiliki, kutokujijalibinafsi, kujiacha, kujinasua na mambo ya ulimwengu, kujikataa, kujinyima, kijizuia, kutokudai. Ni kusema kusema ‘ndio’ kwa Kristo na kusema Hapana kwa nafsi yako. Sababu ya kujikana huku ni kwamba, roho zetu ni za thamani sana kushinda dunia.Mtu akiipoteza roho yake, haipati tena. Atakuwa amepata hasara ya milele. Kwa haraka msalaba ni sehemu ya mtu kupoteza maisha yake, lakinim ki ukweli ni sehem ya mtu kupata maisha ya kweli. Sadaka ya kristo italipwa bila kipimo. Je? Nipo tayari kujikana mwenyewe, kubeba msalaba na kumfuata Kristo?
Sala: Bwana wangu na Mungu wangu, ninyang’anye yote yaniwekayo mbali nawe,nipe yote yaniwekayo karibu nawe; Bwana wangu na Mungu wangu, ninyang’anye nafsi yangu na unipe yote yako, Amina.

Copyright ©2013-2025 ©FurKat, Furaha ya Kikatoliki: see www.fur-kat.blogspot.com.
No comments:
Post a Comment